Michezo

Wasanii wa Simba waibuka kuelekea Simba Day, wajitapa haya (video+)

on

Wasanii wanaoishabikia Club ya Simba leo hii wamekutana katika Duka la mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu Vunjabei kuzungumza na waandishi wa Habari Kuelekea Simba Day siku ya Sept 19 pale Uwanja wa Mkapa Wasanii waliohudhuria ni wa Bongo Movie na wa Bongo Fleva ambao ni Pamoja Na Bambi, Whozu, Meja kunta , Ben Kinyaia, Mwasiti, JB, Quick Rocka na wengine.

DC JOKATE AFUNGUKA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KUGOMBEA 2025 “TWENDA NA MAMA”

Soma na hizi

Tupia Comments