AyoTV

Walichokiamua Wasanii kuhusu malipo ya nyimbo zao kwenye Tv na Redio..! (+Video)

on

Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilitangaza kuwa wasanii wa Tanzania kuanza kulipwa pindi nyimbo zao zinapochezwa katika vituo vya Redio na Tv.

Januari 5 2016 wasanii walikutana kulijadili suala hilo, na haya ndio maamuzi waliyoafikiana.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments