Michezo

Washindi wa Tuzo Binafsi za UEFA

on

Umoja wa vyama vya soka Ulaya UEFA leo pia wamewatangaza wachezaji wanne waliofanya vizuri katika msimu wa 2019/20 katika nafasi za kipa bora, beki bora, kiungo bora na mshambuliaji bora.

UEFA wamewatangaza Manuel Neur wa FC Bayern kuwa kipa bora 2019/20, Joshua Kimmich wa FC Bayern kuwa beki bora, Kevin De Bruyne wa Man City kuwa kiungo bora na Robert Lewandowski wa FC Bayern Munich kuwa ndio mshambuliaji bora 2019/20.

Ikumbukwe tu FC Bayern Munich walikuwa Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya 2019/20 na wachezaji waliochangia hilo ni pamoja na Neur, Kimmich pamoja na Lewandowski.

Soma na hizi

Tupia Comments