Top Stories

Wasiojulikana waipa hasara TANESCO ya Milioni 10 (+video)

on

Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Tabora limepata hasara ya zaidi ya shilingi milioni 10 baada ya watu wasiofahamika kukata visaidizi vya nguzo za umeme zaidi ya 30 zinazosambaza umeme mkubwa na nguzo moja kuanguka na kusababisha kukosekana kwa umeme ndani ya Wilaya ya Uyui.

MADEREVA BAJAJI WAFUNGUKA WANAVYOSUMBULIWA NA TRAFIKI “WANATUPA FAINI AMBAZO HAZIPO”

Soma na hizi

Tupia Comments