Stori Kubwa

Wastara pamoja na ndugu, marafiki na wasanii wenzake wamkumbuka Marehemu Sajuki leo

on

DSC_0063

 

Ni miaka miwili imepita tangu kufariki kwa aliyekuwa msanii wa Bongo Movie, Juma Kilowoko (Sajuki) ambaye alikuwa mume wa msanii Wastara.

Wastara kaungana na ndugu, jamaa, marafiki na watu mbalimbali katika kufanya kumbukumbu ya miaka miwili tangu kufariki Sajuki.

Nimekuwekea picha za kumbukumbu hiyo hapa.

DSC_0055

DSC_0029

DSC_0063

Wastara na baadhi ya watu walioshiriki kwenye kumbukumbu hiyo wakiwa makaburini.

DSC_0053

DSC_0049

Msanii wa Bongo Movie, Frank ni mmoja ya wasanii walioshiriki kumbukumbu hiyo.

 

IMG_8922

IMG_8949

Watu mbalimbali ikiwemo wasanii Sandra na Davina wakiwa nyumbani kwa Wastara kushiriki siku ya kumbukumbu ya marehemu Sajuki.

IMG_8965 (1)

Wastara akiwa na watoto wake Samir, Faris, na Fareem (aliyebebwa).

 

IMG_8908

IMG_8917

Muigizaji Nisha akiwa na Wastara.

 

IMG_8933

IMG_8934

DSC_0076

IMG_8958

IMG_8959

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments