Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji
Mix

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

March 22, 2023
Share
3 Min Read
SHARE

Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Maji Duniani, kampuni ya kutengeneza maji na nishati ya Davis & Shirtliff imetoa wito wa uwekezaji zaidi katika pampu za maji zinazotumia mionzi ya jua ili kusaidia nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia ya Nchi.

Ukosefu wa maji katika nchi zilizopo katika jangwa la sahara umepelekea ukame katika baadhi ya nchi na kusababisha ukosefu wa chakula.

Akiongelea kuhusu maadhimisho ya siku ya Maji duniani, Mkurugenzi wa Davis & Shirtliff, Edward Davis amesema njia pekee ya kuepuka ukosefu wa maji ni kuwa na pampu za uhakika zinazotumia nishati ya jua ambapo ni za gharama nafuu na zinatunza mazingira.

Amesema ndio maana kampuni yake imewekeza katika teknolojia kuhakikisha watu wa majumbani na viwandani wanaweza kunununua vifaa vya kuwawezesha kupata maji kwa urahisi kwa shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo.

Amesema ana amini tatizo la ukosefu wa maji litaisha endapo jamii itatumia teknolojia hiyo inayopatikana kwa urahisi badala ya kutegemea mvua zisizo na uhakika.

“Usukumaji maji kwa kutumia nishati ya jua umethibitika kuwa endelevu na ufanisi kiuendeshaji,”

” Pia unatumia gharama kidogo na ni mzuri katika utunzaji wa mazingira, hivyo kupunguza gharama za upatikanaji wa maji safi na salama kwa matumizi ya kaya na viwandani ikiwa ni pamoja na kilimo,” amesema Davis .

Lengo la Siku ya Maji Duniani 2023 ni kuharakisha mabadiliko ili kutatua shida ya maji na kutunza usafi wa mazingira.

Siku hii huadhimishwa kila mwaka tarehe 22 Machi, ili kuhamasisha watu duniani kote kuchukua hatua za kukabiliana na tatizo la maji na kuzingatia usafi wa mazingira.

Siku hii imekuwa ikiadhimishwa na Umoja wa Mataifa toka mwaka 1993.

Lengo kuu la maadhimisho ya Wiki ya Maji hapa nchini ni kuungana na Mataifa mengine
Duniani katika kutathmini utekelezaji, mafanikio, changamoto na kuainisha mikakati yakuboresha na kuimarisha utoaji wa huduma ya majisafi na usafi wa mazingira na
kusimamia utunzaji wa rasilimali za maji nchini.

Kaulimbiu ya Siku ya Maji Duniani 2023
ni: “Kuongeza Kasi ya Mabadiliko katika Sekta ya Maji kwa Maendeleo endelevu
ya Uchumi”

You Might Also Like

Hifadhi ya Mpanga Kipengere kusherehekea siku ya Maanguko ya Maji Duniani

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

TAGGED: habari daily
Rama Mwelondo TZA March 22, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Afisa Ustawi ahukumiwa jela miaka 30 kwa ubakaji (+video)
Next Article Simba yaandika historia Ligi ya Mabingwa Afrika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?