Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Jaji Thomas Mihayo amesema ndege ya kwanza ya kuleta Watalii itaondoka nchini na kuelekea China ambapo itabeba Watalii 262 na watakaa nchini kwa siku saba, ndege ya pili itaondoka tarehe 2 March italeta Watalii 262.
UWEZO WA PEKEE MTOTO WA DARASA LA TATU ATUNGA KITABU KILICHOANDIKWA KWA MWANDIKO WAKE