AyoTV

Watanzania watolewa hofu “Sukari imeanza kuingia nchini, inatosheleza”

on

Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania Prof Kenneth Bengesi leo kupitia mahojiano yake na Channel Ten kwa njia ya simu ametoa habari njema kwa watanzania kuhusiana na kuadimika kwa bidhaa ya sukari, Prof Kenneth ametangaza kuwa tayari sukari imeanza kuingia nchini baada ya serikali kuchukua hatua stahiki.

VIDEO: DAWA YA COVIDOL INAYODAIWA KUTIBU CORONA YALETA MTAFARUKU

Soma na hizi

Tupia Comments