Michezo

Watford wagoma kuanza mazoezi kisa Corona

on

Wachezaji wa club ya Watford ya England wamekataa kuanza mazoezi baada ya kujua kuwa wenzao watatu katika Kundi la viongozi waliopimwa wana Corona.

Jana imetangazwa kuwa kati ya watu 6 kati ya wachezaji na viongozi 748 wa Ligi Kuu England  waliopimwa Corona na watu 6 kukutwa na maambukizi watatu kati ya hao 6 wanatokea katika timu ya Watford.

Jumla ya wagonjwa hao sita wanatokea katika timu tatu za Ligi Kuu England, hivyo katika jumla ya timu 20 zinazoshiriki Ligi hiyo ni timu 17 pekee ndio ziko salama.

Soma na hizi

Tupia Comments