Top Stories

Watoto wadogo waliopotea Mbeya na kupatikana Tabora Wazazi waeleza ilivyokuwa (+video)

on

Wazazi wa Watoto wawili wa familia moja waliopotea Mkoani Mbeya Mashaka Juma na kupatikana Nzega Mkoani Tabora wamezungumza na kuwashukru Watanzania kwa ushirikiano mpaka kupatikana kwa Watoto wao waliopotea December 28, 2019.

“TUKIO BAYA” MTOTO MDOGO AUAWA KISA UGOMVI WA BABA NA MAMA “AKATWAKATWA NA PANGA”

Soma na hizi

Tupia Comments