Top Stories

Watu wafurika kushangaa jani linalovunja Ndoa “Ugombanisha waliopatana” (video+)

on

Jani ambalo linalodaiwa kufarakanisha ndoa limegeuka kuwa kivutio kwenye maonyesho ya Utamaduni ambayo yamezinduliwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkoani Kilimanjaro.

MKE ADAIWA KUUAWA NA MPANGAJI KISA MAHUSIANO, MUME ASIMULIA

Soma na hizi

Tupia Comments