Top Stories

Watu watatu wafariki ajali ya helikopta Marekani

on

Watu 3 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ajali ya helikopta ya kijeshi iliyotokea katika mji wa New York nchini Marekani.

Helikopta hiyo iliyoanza msafara kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rochester, ilianguka kwenye eneo la mji wa Mendon, magharibi mwa New York.

Katika ajali hiyo, wanajeshi 3 waliokuwa ndani ya helikopta hiyo walipoteza maisha, uchunguzi umeanzishwa kuhusu chanzo cha ajali hiyo.

MSAKO USIKU WA MANANE, SABAYA AVAMIA GODOWN HEWA AKUTA MAGENDO, PESA, MAFUTA NA POMBE

Soma na hizi

Tupia Comments