Mix

Watu watatu wafariki Kigoma kwa kuumwa matumbo “Ni Kutofuata taratibu za Usafi”

on

Watu watatu wamefariki Dunia kutokana na magonjwa ya matumbo huku wengine 14 wakiugua ugonjwa huo katika Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.

Soma na hizi

Tupia Comments