Top Stories

Watu watatu Wafariki kwenye Machimbo Arusha, DC akemea hili (video+)

on

Watu watatu wamefariki dunia wakati wakichimba mchanga baada ya kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya mchanga yaliyopo Murieti Mkoani Arusha.
Ayo TV & Millardayo.com imefika eneo la tukio tazama hii video hapa pia ufahamu kilichosemwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB NDUGAI IKULU CHAMWINO DODOMA

Soma na hizi

Tupia Comments