Top Stories

Watu watinga nyumbani kwa bilionea mpya wakitaka pesa “ni baba,tunataka riziki”

on

Baada ya serikali kumtangaza bilionea Saniniu Laizer kupata madini yenye thamani ya shilingi bilion 7.8 baadhi ya watu wameanza kufika nyumbani kwake wakitaka msaada huku wengine wakisema ni ndugu yake

“Nipo nyumbani nimesikia brother wangu kapata so nimeamua kuja anipe chochote,muomba Mungu hachoki nimemfuata anipe chochote cha watoto”-Kwinase Laizer

 

#LIVE MAGAZETI: Ajali ya boti ilivyoua tisa Ziwa Tanganyika, Bilionea Laizer afunguka

Soma na hizi

Tupia Comments