Top Stories

Watu wawili waanguka kutoka kwenye ndege angani (+video)

on

Hii ni video ikionyesha ndege iliyotoka katika uwanja wa Kabul ambapo inaonyesha watu wawili wakianguka kutoka kwenye ndege hiyo nakuangukia kwenye makazi ya watu

Afghanistan kwasasa raia wengi wanahaha kupata nafasi walau hata kwa kudakia ndege ya Marekani iliyokua ikinoa nanga ilikuepuka madhila ya uongozi mpya wa wanamgambo wa Taliban.

Soma na hizi

Tupia Comments