Top Stories

Watu wawili wafariki dunia baada ya ukuta wa nyumba kuwaangukia (+video)

on

Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limethibitisha vifo vya watu wawili Mama na Mtoto Fathuma Hamisi mwenye miaka 38 na Zainabu Khatibu miaka mitatu baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba wakati wamelala wakati mvua kubwa ilipokuwa ikinyesha.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma ACP. Alchelaus Mutalemwa ameeleza kuwa tukio hilo limetokea majira ya Saa 10 jion katika Kata ya Bangwe.

DUUH! JAMAA WAUA KIBOKO WASHAMBULIA NYAMA “MWAMBIE BOSS WAMESHAUA HUKU”

Soma na hizi

Tupia Comments