Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally akiwa ameambatana na Kaimu Sheikh wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar, wakiongozana na Mwenyeji wako, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati walipowasili kwenye hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa wateja wake, wadau, pamoja na vituo vya watoto yatima, iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na zaidi ya watu 1,000.
Watu zaidi ya 1000 wafuturishwa Diamond Jubilee

Leave a comment
Leave a comment