Top Stories

“Waumini vaeni mask, Corona haichagui mtu” Mtalemwa (+video)

on

Agizo la watu kuvaa barakoa kwa mkoa wa Dar es Salaam lilitolewa mwezi Aprili lakini limekuwa likichukuliwa kwa wepesi na baadhi ya watu, chukua hatua kueneza elimu ya uvaaji barakoa kwa jamii inayokuzunguka.

Huyu ni Mchungaji Mtalemwa Bushiri akitoa msisitizo kwa Waumini wake kuvaa barakoa wakiwa Kanisani.

MAJAMBAZI WANNE WAKAMATWA ARUSHA, WAKUTWA NA DAWA WALIZOPEWA NA MGANGA

Soma na hizi

Tupia Comments