Top Stories

Wavamizi waua twiga, swala “wachoma mashamba, mali za zaidi ya Milioni 60 zateketea” (+video)

on

Mwekezaji Joycelne Tibenda amelalamikia kuvamiwa na Wafugaji kwenye sehemu yake ya biashara ambayo ni Zoo iliyopo eneo la Bagamoyo mkoani Pwani, uvamizi ambao umesababisha Wanyama wake kuuwawa wakiwemo Twiga na Swala.

Soma na hizi

Tupia Comments