Mix

VIDEO: ACT-Wazalendo kuhusu ripoti ya mchanga wa dhahabu ‘Makinikia’

By

on

Ikiwa ni siku chache tangu kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza ishu ya usafirishaji wa mchanga wa dhahabu nje ya nchi kuwasilisha ripoti yake kwa Rais, leo May 28 2017 Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimeandaa mjadala wa kitaifa kujadili na kuichambua ripoti ya Tume ya Prof. Mruma na kutoka mwongozo wa kisera juu ya usimamizi wa rasilimali  madini. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Rais Magufuli alivyotaka Prof. Muhongo ajiuzulu, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments