Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Maswali matatu ya ACT-Wazalendo kwa serikali ya Rais Magufuli
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
June 2, 2023
Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Maswali matatu ya ACT-Wazalendo kwa serikali ya Rais Magufuli
AyoTV

Maswali matatu ya ACT-Wazalendo kwa serikali ya Rais Magufuli

August 3, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

August 3 2016 Umoja wa vijana chama cha ACT-Wazalendo umekutana na waandishiwa habari Dar es salaam na kuzungumzia changamoto zilizopo katika sekta ya elimu nchini ikiwa ni pamoja kitendo kilichofanywa na serikali kwa kuwasimamisha masomo wanafunzi wa Chuo kikuu Dodoma (UDOM) wasiokuwa na sifa na baadae kuwarudisha baadhi yao.

Akizungumza kwa niaba ya wanachama hao Kitentya Luth ambaye ni mratibu wa vijana ACT-Wazalendo amesema…>>>‘Katika uamuzi huo wa kuwafukuza watoto wa kimaskini kutoka UDOM kukaibuliwa lugha za udhalilishaji kwa kuwaita Vilaza bila kuangalia athari za kisaikolojia‘

‘Sisi kwa nafasi yetu kama vijana tunalaani vikali udhalilishaji huo mbali ya kulaani tunaitaka Serikali ituambie na kutujibu masuala matatu yakiwemo‘ –Kitentya Luth

  1. Je, ni kweli tatizo lilikuwa Udahili ambao haukukidhi vigezo au ni ukosefu wa fedha baada ya wafadhili kujitoa kama tunavyosikia?
  2. Mliwezaje kuwapata wanafunzi zaidi ya 300 mkidai wamekidhi  vigezo vya kurudi chuo na tunafahamu 7000 walikosa sifa kwa matokeo yao kuwekwa hadharani?
  3. Serikali imewapeleka wanafunzi katika vyuo vingine, je, waliopelekwa walienda kuendelea na elimu waliyoanza awali au walikuwa na mwanzo mwingine

ULIIKOSA HII YA ZITTO KABWE KUHOJIWA NA POLISI KWA DAKIKA 138

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Harambee ya uchangiaji wa Ujenzi wa shule ya Marian

Dr. Mpango avutiwa na ubunifu wa programu ya IMBEJU

TAGGED: ACT Wazalendo, habari daily, Zitto Kabwe
Admin August 3, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article AudioMPYA: Juma Nature katuletea hii single mpya Mitumba…..
Next Article PICHA 20 & VIDEO: Daraja lililotengenezwa kwa vioo linalounganisha vilele vya milima lazinduliwa China
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
Top Stories June 2, 2023
Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest
Sports June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Top Stories

Amnesty yaonya Iran dhidi ya Kunyonga kwa Kesi zinazohusiana na madawa ya kulevya

June 2, 2023
Top Stories

Elon Musk kwa mara nyingine tena ndiye mtu tajiri zaidi duniani

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?