Top Stories

Wazee CHADEMA “CCM wanaiogopa CHADEMA asilimia mia” (+video)

on

Baraza la Wazee CHADEMA wameeleza sababu za Chama chao kujitoa kwenye uchaguzi mdogo uliopanga kufanyika November 24 mwaka huu, ‘Sisi kama CHADEMA tumeona tuseme kuwa tumejitoa lakini tumetolewa, Sisi tumefarijika sana CCM wangeruhusu uchaguzi ufanyike wasingeshinda kabisa, CCM wanaiogopa CHADEMA kwa asilimia 100”.

RC MWANRI AONESHA UWEZO WA KUCHEZA MZIKI

Soma na hizi

Tupia Comments