Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Maamuzi mengine leo kutoka kwa Waziri wa Magufuli
Share
Notification Show More
Latest News
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
September 22, 2023
Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Maamuzi mengine leo kutoka kwa Waziri wa Magufuli
Mix

Maamuzi mengine leo kutoka kwa Waziri wa Magufuli

March 23, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

March 23 2016 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekutana na Baraza la Wazee wa Dar es salaam na kusikiliza changamoto zinazowakabili katika jamii.

Katika kutatua changamoto zinazowakabili wazee, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeonyesha imedhamiria kutoa kipaumbele kwa wazee na imesisitiza kusimamia Sera ya Serikali ya kutoa huduma za afya bure kwa wazee. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezungumza na waandishi wa habari na kusema….

>>’kuhusu huduma kwa wazee hasa matibabu tunataka kuwathibishia bado inabaki kuwa ni sera ya Serikali  na kwamba wazee Tanzania wanatakiwa  kupata matibabu bure, kuanzia gharama ya kumuona Daktari, vipimo na Dawa. Naendelea kuziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha wanatekeleza Sera ya Serikali ya kutoa huduma za afya bure ikiwemo kuanzisha dirisha la wazee‘.

>>>’na kuonyesha kwamba nimedhamiria nimeshaongea na watu wa bima ya afya mwezi ujao tutatoa matangazo ambayo tutaweka katika vituo vyote vya Serikali ‘Mzee kwanza, Mzee alikuwa kama wewe na wewe utakuwa kama yeye, tafadhali toa kipaumbele cha huduma kwa wazee’ tayari tumeshaaanza tunatafuta siku ya kuyazindua ili kuendelea kuhamasisha kipaumbele kwa wazee‘

 

#MillardAyoUPDATES  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy  Mwalimu ameziagiza halmashauri zote nchini kuhakikisha zinatekeleza agizo la kutoa huduma za afya bure kwa wazee wote nchini. Hii ni baada ya leo kukutana na Baraza la wazee wa Dar es salaam na kusikiliza changamoto zao katika jamii.

A video posted by millard ayo (@millardayo) on Mar 23, 2016 at 1:36am PDT

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter,FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

You Might Also Like

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji matela ya kusafirishia mabomba ya EACOP

NIC washinda tuzo 7 ndani ya mwaka 2023

TAGGED: tanzania daily
Millard Ayo March 23, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha 9 kutokea katikati ya jiji la Dar baada ya mvua kunyesha leo March 23
Next Article VIDEO: Mzuka wa Tegeta Club 71 walivyoiimba na kuicheza kamatia chini ya Navy Kenzo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
Sports September 22, 2023
Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025
Sports September 22, 2023
Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno
Top Stories September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

September 22, 2023
Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Nigeria:Tinubu aidhinisha nyongeza ya mishahara kwa Taasisi za Elimu ya Juu za Shirikisho

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?