Leo January 20, 2020 Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amemteua Godfrey Simango Nyasia kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA)
WIZARA “HEKIMA ITATUMIKA USAJILI WA LAINI KWA WASIO NA VITAMBULISHO VYA TAIFA”