Top Stories

Waziri Bashungwa katika kiwanda cha kuunganisha magari za Mtanzania (+picha)

on

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika Halmashauri ya Mji Kibaha na kutembelea kiwanda cha kuunganisha mabasi kinachomilikiwa na Mtanzania mzalendo chenye uwezo wa kuunganisha mabasi makubwa yenye uwezo wa kubeba abiria kuanzia 50.

MAMA ALIEINGIA IKULU KUMDANGANYA RAIS “IKULU MAHALI PAKATIFU, SI SEHEMU YA KITAPELI”

Soma na hizi

Tupia Comments