Waziri Gwajima awa mkali kwenye Mazishi ya Kijana aliyechomwa kisu ‘Watakuja kutuchoma’
Share
0 Min Read
SHARE
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema Serikali inaendelea kuwasaka wanajamii wanaofanya matukio ya ukatili na unyanyasaji kwa watoto na kupelekea kukimbilia mtaani na kuacha makazi yao.