Top Stories

Waziri Lukuvi amfukuza kazi Afisa aliyemrudishia ‘Mhindi’ ardhi iliyofutwa na Magufuli

on

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,William Lukuvi amemfukuza kazi Afisa Ardhi Wilaya ya Arumeru, Nicodemus Hillu kwa kosa la kurejesha eneo lenye ukubwa wa Ekari 3000 kwa Mwekezaji lililokuwa limefutiwa umiliki wake na Rais John Magufuli na kuisabahishia Serikali hasara ya kulipa fidia ya zaidi ya Million tano

RC MPYA ARUSHA APOKELEWA KWA SHANGWE “NIMEKUJA KWENYE NAFASI NYINGINE”

Soma na hizi

Tupia Comments