Top Stories

Waziri Lukuvi amtumbua Mkuu wa Idara Iringa

on

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amemvua Ukuu wa Idara ya Ardhi Manispaa ya Iringa, Wilbert Mtongani kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya kazi.

Lukuvi ametangaza uamuzi huo leo December 02,2019, katika ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi Mkoani Iringa.

“HUYU ATAKUJA KUVUNJA MGONGO WA MTU, ACHUKULIWE HATUA”-WAZIRI NDALICHAKO

 

Soma na hizi

Tupia Comments