Top Stories

Waziri Makamba afunguka bei za Mafuta kupanda baada ya wabunge kujadili (video+)

on

Waziri wa Nishati, January Makamba amesimama bungeni leo na kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali zilizoibuliwa na wabunge kuhusu suala la kupanda bei ya mafuta ya petroli, diesel na mafuta ya taa.

Ufafanuzi huo ameutoa mara baada ya wabunge kujadili hoja iliyotolewa bungeni na Mbunge wa Kilindi, Omary Kigua aliyetaka bunge liahirishwe ili kujadili kupanda kwa bei ya mafuta.

 

Tupia Comments