Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Makamba ataja mambo matano ambayo Tanzania inajivunia kupitia uhusiano wake na China
Share
Notification Show More
Latest News
The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
December 10, 2023
RC Chalamila apongeza Polisi na Barrick kwa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
December 10, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Waziri Makamba ataja mambo matano ambayo Tanzania inajivunia kupitia uhusiano wake na China
Top Stories

Waziri Makamba ataja mambo matano ambayo Tanzania inajivunia kupitia uhusiano wake na China

September 29, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba,ametaja mambo matano ambayo Tanzania inajivunia kupitia mahusiano yake na China ikiwemo eneo la kuimarisha ulinzi na usalama.

Maeneo mengine, biashara na uwekezaji,kuboresha sekta ya afya,ujenzi wa miundombinu mikubwa barabara na reli ya Tazara, kidiplomasia na mahusiano baina ya watu na watu kutoka mataifa hayo mawili.

Hayo aliyabainisha Dar es Salaam juzi akiwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya sherehe ya kusherekea miaka 74 tangu kuanzishwa kwa Taifa la watu wa Jamuhuri ya China iliyofanyika katika ofisi za ubalozi huo ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wastaafu.

Akizungumzia kwenye eneo la ulinzi na usalama,alisema watumishi wa vyombo vya ulinzi wamekuwa wakienda nchini China kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi ambayo yamekuwa msaada katika usalama wa taifa.

“Ushirikiano wetu ulianza tangu kipindi tukiwa kwenye hali ngumu ya kiuchumi miaka ya 60 na wamekuwa wakitusaidia kuboresha jeshi letu la ulinzi na limeimarika kutokana na uhusiano uliopo,” alisema

Kuhusu eneo la biashara na uwekezaji alidai sekta hiyo imekuwa ikikua kwa kasi na China imekuwa moja kati ya nchi inayoongoza kwa kuleta mitaji mingi nchini.

“Mahusiano kati yetu na China tunajivunia ukaribu wetu kwa watu,maendeleo makubwa yaliyopatikana ikiwemo bomba la gesi kutoka mtwara, ujenzi wa Uwanja wa Taifa na ujenzi wa reli ya Tazara,” alisema

.
.

You Might Also Like

Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

Edwin TZA September 29, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wataalam Uganda watinga maonesho ya madini Geita, wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini
Next Article Maofisa kutoka shirika la hifadhi za taifa wapata mafunzo ya ushirikishwaji wa jamii
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
Sports December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
Top Stories December 10, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

December 9, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

December 8, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?