Top Stories

Waziri Mbarawa “Tusipopanga vizuri kutatokea machafuko kama Nchi nyingine” (+video)

on

Waziri Mbarawa ameongea ni kwa namna Gani tusipotunza maji na Vyanzo vyake vinaweza kusababisha machafuko kama baadhi ya Nchi, Lazima tupange ni kwa namna gani kila mmoja anaweza kufaidika na Vyanzo hivi vya maji, Bila ya MAJI HAKUNA AMANI, BILA MAJI HAKUNA KILIMO, BILA YA MAJI HAKUNA MAISHA”

LIVE MAGAZETI: Jela miezi 24 kutishia kumuua Rais Magufuli, Safu mpya CHADEMA yachomoza

Soma na hizi

Tupia Comments