Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hali ya uzito uliozidi na uzito uliokithiri (kiribatumbo) ndicho kiashiria pekee ambacho hakijawahi kupungua na kimeendelea kuongezeka kutoka asilimia 11.3 mwaka 1991 hadi kufikia asilimia 31.7 mwaka 2018 kwa Tanzania Bara na kwa Zanzibar uzito uliozidi umefikia asilimia 41.8 katika kipindi hichohicho.

Amesema tatizo la uzito uliozidi na kiribatumbo ni kubwa katika Mikoa ya Kilimanjaro ambako wana asilimia 49, Dar es Salaam (asilimia 48.6), Mjini Magharibi (asilimia 47.4) na Kusini Unguja (asilimia 39.4).

Amesema hayo leo Jumamosi, Aprili Mosi, 2023 wakati akizungumza na Maelfu ya Wakazi wa Mtwara na Mikoa ya jirani waliofika kushuhudia uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Nangwanda Sijaona, katika Manispaa ya Mtwara.

“Hali hii inaelekea kuwa janga la kitaifa na kisababishi kikubwa cha kuongezeka baadhi ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama kisukari, saratani na magonjwa ya moyo, Wananchi wenzangu, sasa ni wakati muafaka wa kubadili mitindo ya maisha yetu kwa kufanya mazoezi angalau nusu saa kila siku na kula mlo kamili sambamba na kuepuka vyakula vyenye mafuta mengi, sukari nyingi, pombe na sigara”

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Edwin TZA April 1, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Next Article Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?