Ligi Kuu ya Ufaransa imefutwa rasmi kwa msimu wa 2019/20 baada ya waziri mkuu wa taifa hilo Edoardo Phillipe kutangaza rasmi kusimamisha shughuli zote za michezo hadi September 2020 sababu ya corona.
LIGUE 1 inakuwa Ligi ya pili Ulaya baada ya Uholanzi kumaliza msimu bila Bingwa, hii ni baada ya serikali za nchi hizo kutoruhusu mikusanyiko inayoweza ongeza maambukizi ya corona.
Ufaransa sasa baada ya kusitisha michezo na kufuta misimu mmbali ya soka nchini humo, michezo na Ligi Kuu Ufaransa kwa msimu wa 2020/21 utaanza September.