Top Stories

Waziri Mkuu ambana kwa maswali mazito afisa wa ushirika (video+)

on

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Septemba 19 ,2021 ameendelea na ziara yake Mkoani Kagera ambapo ametembelea kiwanda cha Kahawa Ngara kilichopo Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera.

Akiwa kiwandani hapo hajaridhishwa na utendaji kazi wa Chama cha Ushirika cha wakulima Ngara hususani upande wa makato na bei kwa Mkulima na kueleza makato ambayo sio ya muhimu kumbebesha mkulima hali inayopelekea malipo ya Mkulima kuwa kidogo.

Soma na hizi

Tupia Comments