Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Mkuu Hoi kwa kicheko, Mama amuoma namba, ‘Nina mengi ya kukwambia naomba nije chemba’
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Waziri Mkuu Hoi kwa kicheko, Mama amuoma namba, ‘Nina mengi ya kukwambia naomba nije chemba’
Top Stories

Waziri Mkuu Hoi kwa kicheko, Mama amuoma namba, ‘Nina mengi ya kukwambia naomba nije chemba’

May 17, 2023
Share
1 Min Read
SHARE
Mfanyabiashara maarufu Kariakoo Sinyaa Kimambo ni miongoni mwa waliopata nafasi ya kuwasilisha kero mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ambapo ameelezea kero ya Watumishi wa TRA kuwafuata Wafanyabishara mpaka kwenye nyumba zao na kuchukua pesa huku wakiwatishia kufungia biashara zao.

Sinyaa amenukuliwa akisema– “Diwani haonekani kusikiliza hoja zetu, tunaweza kumsamehe Zungu labda Bunge limemzidi, kuna wale Watu wa taka Baba kerooo, Waziri Mkuu naomba ukaone duka langu limeshafilisika, stoo inazalisha taka?, TRA wanatufuata mpaka nyumbani jaman, naomba namba zako sitaki majungu wakitufuata nakutumia picha na hela ninazotoa”

“Tunanyanyasika tunakuwa kama mbwa, TRA wanatufuata nyumbani kwanini?, nyumbani kuna ofisi?, wanatutushia ooh tutasimamisha biashara kwahiyo tukadange?”

LIVE: WAZIRI MKUU ANASIKILIZA KERO ZA WAFANYABIASHARA WALIOGOMA KARIAKOO – MNAZI MMOJA DSM

You Might Also Like

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Flamengo ya Brazil yamtimua kocha Jorge Sampaoli huku wakimtazamia Tite

Wananchi wadai fidia ya Milioni 500 kwa Naibu Waziri wa Nishati

Edwin TZA May 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Bila woga Fred Vunja bei afunguka mbele ya Waziri Mkuu, ‘Tunakufa Njaa, Tufungue maduka’ (video+)
Next Article Video: hafla ya Silent Ocean walivyozindua safari zake kutoka India kuja Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?