Top Stories

Waziri Mkuu Majaliwa asikiliza kero za Wananchi, diwani apiga magoti (video+)

on

Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa ameagiza Majengo ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma kujengwa katika kata ya Mahembe kama ilivyopendekezwa na Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo.

Ametoa agizo hilo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa Wananchi wa kata hiyo ambao wameeleza kusikitishwa na uamuzi wa Serijali wa kuhamisha ujenzi wa majengo hayo kwenda katika kata ya Kamara.

Wananchi wamesema tayari wamejitolea hekari 25 kwa ajili ya eneo la ujenzi ukiachilia mbali kuruhusu wanafunzi kupisha eneo la Shule kwa ajili ya kutumika kama ofisi za Halmashauri kwa miaka mitatu mpaka sasa.

RAIS SAMIA KWENDA MAREKANI “ATALIHUTUBIA BARAZA LA UN”

Soma na hizi

Tupia Comments