Top Stories

“Waziri Mkuu “tatizo wajumbe Sheikh Majini ila tumekuombea” (+video)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewashukuru viongozi wa Dini ya Kiislamu, waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, huku akimpa moyo Shekh Majini kwamba huenda akapitishwa kugombea nafasi ya Ubunge.

Akizungumza wakati wa Swala ya Eid-El-Adhaa, ambayo Kitaifa imefanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini DSM.

“Mwaka huu nimefurahi nimeona hata viongozi wa Kiislamu mmejitokeza kwa wingi kugombea, Sheikh Majini mchakato unaendelea tunakuombea sana, kile kikao cha mwisho kikurudishe” Waziri Mkuu

“Lakini wajumbe wale wametoa mwongozo tu maamuzi yako juu huko, tunaamini InshaAllah kule Handeni utakuwa Mbunge” Waziri Mkuu.

Soma na hizi

Tupia Comments