Top Stories

Waziri Mulamula aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano SADC (+picha)

on

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 41 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardius Kilangi. Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri wa SADC kinafanyika hii leo Agosti 13,2021 Lilongwe – Malawi.

YALIYOJIFICHA MOCHWARI, HATOSAHAU, MAITI KUFUFUKA, KUPAKWA MAKEUP ALIEKAA MIAKA 7 ANAHUDUMIA MAITI

Soma na hizi

Tupia Comments