Top Stories

Waziri Nape atoa maagizo kwa Waajiri wa Marehemu “Walipwe stahiki zao” (video+)

on

NI January 12, 2022 ambapo imefanyika shughuli ya kuaga miili ya Waandishi watano waliofariki katika Ajali ya gari wakiwa ziarani huko Mkoani Mwanza.
Sasa miongoni mwa waliohudhuria shughuli hiyo ni Waziri wa Habari na Mawasiliano ya teknolojia ya Habari Nape Nnauye ambae ametoa maagizo kwa waajiri wa Marehemu.

 

Soma na hizi

Tupia Comments