Top Stories

Waziri Simbachawene afunguka video ya waliovua nguo Ukumbini (video+)

on

Waziri Simbachawene awataka Wakuu wa Polisi wa Mikoa kwa kushirikiana na Kamati ya Usalama ya Mikoa, kuwasaka watu wanaotumia Mitandao ya Kijamii kusambaza uongo, kutishia, kudhalilisha, kutukana wenzao na Viongozi, Taasisi na Nchi kwa ujumla na kuwafikisha Mahakamani.

“Unakuta Watu wanatoa matukio au picha nyingine sio nzuri hivi karibuni kulikuwa na promotion mahali fulani MC anawaambia Watu wavue nguo sasa unajiuliza uhuru huo wa kuwaambia Watu wavue nguo!, yaani tumefika mahala hapo”

“Imefikia hatua sasa ya kumdhihaki hadi Rais, Rais wa Tanzania ambaye ni Mwanamama kwa mila na desturi zetu sisi tunawaheshimu sana Wanamama, unakuta Mtu anamdhihaki anampa majina ya ajabu sasa hali hii haiwezi kuvumilika” ——— Simbachawene.

MUME ACHOMA NYUMBA YA WAKWE, AUA MKE NA NDUGU WAWILI MOROGORO

Tupia Comments