Top Stories

Waziri Ummy aibuka na takwimu za Uviko19 ‘Watu 781 wamepoteza maisha nchini’ (video+)

on

Ni January 26, 2022 ambapo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amepokea chanjo mpya za Dozi laki nane za aina ya Sinopharm kutoka China.

Baada ya kupokea chanjo hizo Waziri alifanya mazungumzo na Vyombo vya Habari nchini.
Miongoni aliyoyazungumza katika mkutano huo ni kuhusiana na mwenendo wa Janga la Ugonjwa wa Covid-19 (Corona).
“Mpaka kufikia tarehe 23 January, 2022 jumla ya Watu 349,641,119 wamethibitika kuwa na maambukizi na Watu 5,592,266 wamepoteza maisha Duniani kote’- Waziri Ummy
“Aidha kwa hapa nchini Tanzania mpaka kufikia tarehe hii, jumla ya Watu 33,000 wamethibitika kuwa na maambukizi na Watu 781 wamepoteza maisha”- Waziri Ummy

 

Soma na hizi

Tupia Comments