Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametangaza kuwa wagonjwa wengine wawili wa COVID19 wamepona akiwemo wa Dar es Salaam na mwingine wa Arusha hivyo hadi sasa hakuna mtu mwenye virusi vya corona mkoani humo.