Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama chake Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Tanga Mjini leo.
Awali Waziri Ummy alikua Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga.