Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa taarifa kuhusu tetesi za uwepo wa mlipuko mpya wa Covid 19 Tanzania ambapo amewaomba Wananchi waondoe hofu na kusema Wizara ya Afya inachakata taarifa zilizokusanywa kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii kisha watatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au lah!.
Kwa taarifa zaidi unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.