Top Stories

Waziri Ummy “Pasaka msiende Vijini, mtawapelekea Wazee ugonjwa” (+video)

on

Kauli ya Waziri wa Afya Ummy Mwalim leo April 9, 2020 “Na hizi Sikukuu kuna Watu watatoka mijini waende kijijini, hatusemi wasiende ila na hii corona, tujiulize ni lazima kwenda?, tunaenda kuwapelekea ugonjwa Wazee na Wazazi, kama Mtu anaweza kujizuia kutokwenda kijijini kipindi hiki tunamshauri abaki”.

POLISI WAZUIA WATU KWENDA BEACH, DISCO “PASAKA IISHE TUKIWA SALAMA, TUTAFANYA DORIA”

Soma na hizi

Tupia Comments