Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri wa Afya achanjwa awasihi watu kupata chanjo ya Corona (video+)
Share
Notification Show More
Latest News
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Waziri wa Afya achanjwa awasihi watu kupata chanjo ya Corona (video+)
Top Stories

Waziri wa Afya achanjwa awasihi watu kupata chanjo ya Corona (video+)

July 22, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Mazrui amethibitisha kuchanjwa na chanjo aina ya SINOVAC ambayo ni msaada kutokea China na kipaumbele cha chanjo hiyo itakuwa ni Wizara ya Afya, Wafanyakazi wa Airport pamoja na wanaojishughulisha na shughuli za Kitalii.

‘Nimechanja hapa Dawa ya SINOVAC  kutoka China tutaanza kuwachanja wafanyakazi wote wa wizara ya Afya ambao wapo mstari wa mbele kabisa kama mimi nilivyofanya na tumepata msaada kutoka Serikali ya China doze Elfu 10 kwa kuchanja watu Elfu 5 ndio ambayo tunaanza nayo kuwachanja wafanyakazi, madaktari, Manesi’- Waziri wa Afya

‘Kazi ya kuchanja itaendelea tutachanja watu wote wanaofanya kazi za utalii katika mahoteli na wanaotembeza wageni vilevile tutachanja wananchi wote wenye maradhi ya kisukari, Pressure lakini vilevile tutaanza wenye umri mkubwa’-Waziri wa Afya

You Might Also Like

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

TAGGED: Corona, ZANZIBAR, Znz
Edwin TZA July 22, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wagonjwa wa Corona wafikia 682 Tanzania, misongamano marufuku
Next Article Safari ya Kigoma imenoga, klabu ndani ya treni, Perfomance za mastaa (video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.

March 27, 2023
Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?