Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Waziri wa Biashara Zanzibar “ZBS inajifunza TBS, bidhaa ziwe salama”
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Waziri wa Biashara Zanzibar “ZBS inajifunza TBS, bidhaa ziwe salama”
Top Stories

Waziri wa Biashara Zanzibar “ZBS inajifunza TBS, bidhaa ziwe salama”

January 25, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Omar Said Shaaban ameipongeza Serikali ya  jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuijengea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) uwezo wa kuwa na maabara zenye umahiri wa kutambulika Kimataifa,

Amesema mpaka sasa TBS imekuwa na maendeleo makubwa kwani imeimarisha mifumo ya Tehama pamoja na kufungua ofisi za kikanda kwaajili ya kurahishsa huduma.

Ameyasema hayo leo mara baada ya kutembelea Makao Makuu ya TBS Ubungo Jijini Dar es Salaam akifuatana na baadhi ya Maafisa wa Wizara yake ili kujifunza wakati huu ambao Zanzibar inaimarisha Shirika lake la Viwango ZBS.

“Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiwa katika hatua za kuiimarisha ZBS, Taasisi hiyo ambayo bado ni changa, itaendelea kujifunza na kupata uzoefu kutoka TBS, kwa kuwa mashirika haya mawili yana lengo moja la kuhakikisha bidhaa na huduma zinazotumiwa na binadamu zipo salama bila kuathiri afya na mazingira”. Amesema Waziri Shaaban.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa TBS Dkt. Athuman Ngenya ameahidi kutekeleza maelekezo ya Waziri Shaaban pamoja na kuendeleza ushirikiano na ZBS ili mashirika hayo yaweze kutoa huduma stahiki kwa wananchi kwa ujumla.

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 25, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rapper Cardi b ashinda kesi dhidi ya Tasha K
Next Article Mashabiki wamjia juu Keita kwa kujichubua
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 4, 2023
Magazeti June 4, 2023
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?