Mix

Picha 9 Waziri Kitwanga alivyokaribishwa Wizara ya Mambo ya Ndani baada ya kuapishwa leo Dec 12

on

December 10  2015 Rais John Pombe Magufuli alitangaza baraza lake la Mawaziri katika awamu yake ya uongozi Ikulu Dar ingawa halikukamilika, Leo Dec 12 shughuli ya uapishwaji ilifanyika.

Hapa ninazo picha kutokea Wizara ya Wambo ya Ndani ambapo Waziri Charles Kitwanga alivyo karibishwa katika Wizara hiyo maratu baada ya Kuapishwa rasmi kuwa Waziri.

????????????????????????????????????

Rais  Magufuli (kushoto) akimuapisha Charles Kitwanga Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.

????????????????????????????????????

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan (kushoto) akimpongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar.

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

????????????????????????????????????

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akijadiliana na watendaji wa wizara hiyo

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments