Top Stories

Waziri Mbarawa aanza kazi baada ya kuapishwa (Video+)

on

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof .Makame Mbarawa amehudhuria hafla ya utiliaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato jijini hapa, muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais Samua Suluhu Hassan mkoani humo.

WANANCHI WAIBUKA BAADA YA RAIS KUTEUA WAZIRI WA ULINZI MWANAMKE “WANAWEZA”

Tupia Comments